site loader
Song image

Shukurani

By - Goodluck Gozbert

Lyrics *VERSE 1* Ninakushukuru Mungu Sababu Ya Mengi, Hata Uhai Huu Sikustahili, Ninakushukuru Mungu Tena, Sababu Ya Vingi, Hata Nikiwa Nasali, Unajua Naamanisha, Sio Kama Eti, Nilitenda Wema, Wa Kuja Linganisha Na Matendo Yako Makuu Mimi Mungu Ningekulipa Nini, Ulikonitoa, Ni Siri ya Moyo Wangu Matopeni Topeni, Ukaniketisha Na Wakuu Juu, Umenipa Heshima, Ukanifuta Machozi […]

More
en_USEnglish
en_USEnglish