site loader
Song image

Nyakati

By - Goodluck Gozbert

Lyrics Unaona kama kila unachogusa kimeharibika Ujasiri wa kusema tena umetoweka Maana kila unalosema wewe kama unakosea Umechanganyikiwa ni Mungu ajua unayopitia Na ukisema ueleze wengi kwao ni furaha Wewe mwombe Mungu ubaki kimya Na mengi umevumilia, moyo umenyong’onyea Hapo ulipo sasa ng’ang’ania tena Na Mungu hajaruhusu jaribu kuliko uwezo wako Imani nusu ongeza utashinda […]

More
en_USEnglish
en_USEnglish