site loader
Song image

Ipo siku

By - Goodluck Gozbert

Lyrics Ni mbali nimetoka Tena ni ajabu kuwa hai Maana ningeshakufaga Ni mengi nimeona Tena ya kuvunja moyo Labda ningeshamwacha Mungu Kama ni misongo ya mawazo Magonjwa mama, nimepitia, ninazoea Maumivu ya kudharauliwa, umasikini Ni kila siku, ninajipa moyo Ipo siku yangu tu, Ipo Siku, siku Ipo siku yangu tu Nami niba niba nibarikiwe, Nami […]

More
en_USEnglish
en_USEnglish