site loader
Song image

Hauwezi Kushindana

By - Goodluck Gozbert

Lyrics GOODLUCK GOZBERT HAUWEZI KUSHINDANA Lyrics Verse 1 Kama Maneno Yangekuwa Yanaweza Kutoboa Mwili Huu, Mbona Sasa Ningekuwa Na Vidonda Mwili Mzima, Vita Ya Maneno Kuna Watu Ni majemedari, Ukisema Mshindane Mbona Mikono Utainua Kupigwa Vita Ni Kawaida Isikusumbue, Wewe Ni Mti Wenye Matunda Usikwepe Mawe, Lia Kidogo Nyamaza Ili Uchungu Uishe, Ukiendelea Unawapa Kichwa […]

More
en_USEnglish
en_USEnglish