site loader
Song image

Acha waambiane

By - Goodluck Gozbert

Lyrics Aaaaahhhh Acha waambiane, wasemezane, mabaya yako Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako Acha waambiane, wasemezane, mabaya yako Ila wataambiana wema wa mungu maishani mwako Usikate tamaa na yale unayoyaona Hata kama uko chini sana(uko chini sana) Najua wataambiana wewe ni masikini(masikini) Lakini usichoke ipo siku watasema(watasema) Najua wataambiana wewe hufai(hufai) Na umeshatembea na […]

More
en_USEnglish
en_USEnglish