Alikiba – Dodo Lyrics

Alikiba – Dodo Lyrics Yeah (Ye Baba) Kupenda ni vitendo Si maneno maneno Leo nakupa kitengo Kwa kufika malengo Umeziba mapengo Kwa upendo upendo Eeh bwana wala huzingui Anzeni vikao vya send off yeah Maana we mrembo nakujuza Mama nashukuru umekuza Chanda chema pete nitakutunza Na maa ngoja wote wapuuza Na umeshanizima Na yoyoyoyoyo-your love …